Mashabiki wa Yanga wametamba kuwa wao ndio wawakilishi pekee kutoka Ukanda wa Afrika Mashariki waliosalia katika Ligi ya Mabingwa Afrika (labda na APR ya Rwanda) baada Azam kutolewa katika mashindano hayo na APR kwa jumla ya magoli 2-1 kwa mizunguko yote miwili.